mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mzee wa mistariIla mwenye macho kaona hebu angalia.
Mpenzi ila umemzidi kwa kila kitu
AMUN RAWakuu. Naomba niwaache kidogo. Nitarudi jioni. Again, kama nilizidisha utani au kama nilimkwaza mtu, basi samahani sana; na ukiniambia wapi nilipokukwaza nitajirekebisha mara moja. Nawatakia utoaji na upokeaji wa likes mwema. Stay positive and blessed. Pamoja!
Unanibania kweli nawasubiri hapaWaje ili liamshwe DUDE [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kukumbushana ni muhimuToa likes pata likes zaidi ndio lengo la uzi
Our queen, just me and you only.Nini tena my Queen
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna muda akaomba "kill Cole Williams". Kweli kisa mapenzi? Mbona nsamaka kaenda kwa yule mharibifu na maisha hayaja simama? Mwache ajiliwaze na mafumbo huku mzee wa ini ana sherehekea ushindiI am on your side since day one. The problem is you are not straightforward. You talk in parables as if you are a spiritual guru or something. Sometimes to win you have to be aggressive and project power, confidence and psychological fitness. Sasa wewe ukipigwa mkwara tu unapotea halafu unakuja kuibuka na parable za kizungu. Utashinda vita kweli kwa mtindo huu? If you lose, you have only yourself to blame....
Nalisha mbwa wangu kwanza, kubweka usiku kucha sio kazi ndogo!!Kula kwanza japo sijakuelewa
Ulipotea Mkuu, ulikuwa wapi?Naingia bila hodi
Mhhhh!!! Kazi ipo...Mpenzi miwani yqko huwa inanichanganya kweli kweli
Mambo yako amekupa big pointHaswaaa
Karibu mkuu tupambaneDuh, Kichwa Kichafu bado uko bumper to bumper na huu uzi!! Dah!
Mda utasemaMkuu lengo lako mimi nifeli halitatokea
Yapokee kama yalivyoEeeh