hahaa...unataka watu " wawe wanachambana mpaka basi sasa""Tunahitaji kitufe cha dislike hapa jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamaanisha wasukuma kakake??Kama siyo nyanda za juu kusini, itakuwa kanda ya ziwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaa...unataka watu " wawe wanachambana mpaka basi sasa""
Amin[emoji120][emoji120]*Tanabahi:*
*Ndoa:*
Zamani ndoa ilikuwa ni *tulizo*, lakini leo ni *'mapambano.'*
*Rafiki:*
Zamani rafiki alikuwa ni hazina, lakini leo urafiki ni kwa *'maslahi'.*
*Undugu:*
Zamani, undugu ulikuwa ni *ngao,* lakini leo ni *uadui.*
Ni kitu kimoja tu ndicho ambacho hakijabadilika kwa kadiri zama zilivyobadilika, na si kingine bali ni *'mama'*
Zamani, mama alikuwa ni *'rehma'* na leo angali ni *rehma,* na ataendelea kubaki kuwa ni *rehma.*
Yaa Allah, mwenye mama aliye hai basi mhifadhie mamaake...
Mwenye mama aliyefariki basi mrehemu mama yake...
Mwenye mama aliye mgonjwa, mpe shifaa mama yake....
Mwenye mama ambaye ni muhitaji basi mkidhie haja yake....
Ameen thuma Ameen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2. Wazo la ATM liliibuka bafuni
Mgunduzi John Shepherd-Barron alipata wazo la kuweka ATM bafuni manamo miaka ya 1960 akiwa bafuni.
hahaha na unavyopendaga "" kukaa pembeni " huku ukiwachora "" wanavyorushiana maneno """[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kitafaa kwa kweli