Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daa, hapa kama wewe ndio mshua wa hao watoto, hii inakupa picha kamili kwamba; Hukutimiza wajibu wako wa malezi! [emoji1]
Kuna familia ya ndugu yangu watoto wamelelewa vibaya mno si ajabu kusikia akimtukana baba au mama mtu nyoko mbwa etc,au mama mtu akitaka kumuadhibu mtoto anaropoka eee wee nipige subiria baba aje atakupiga na wewe mxiiiewww aisee malez haya
 
Pamoja na mabadiliko mbalimbali kwenye utamaduni wa Vietnam, bado maeneo mengi hasa ya vijijini hayakubaliani na swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani. Unaweza usilishuhudie hili hadi pale utakapotoka nje ya miji mikubwa kama vile Hanoi na Saigon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…