Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahahaha preshaaaaUlale wewe kweli wakati Real wanakiputa? Thubutu yake, labda ulale kama Sungura! Macho kodo wakati kauchapa usingizi! [emoji1][emoji1]
Hahahahaha preshaaaaUlale wewe kweli wakati Real wanakiputa? Thubutu yake, labda ulale kama Sungura! Macho kodo wakati kauchapa usingizi! [emoji1][emoji1]
Mume wa dada kakukaa sana Shiro !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mi mumewe nakuja kumchoropoa makusudi tu ili kumpima [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaa poaaSikutaka hii game iniwangie weekend yangu ndefu! Yeyote atakayeshinda mi kheri tu! [emoji1][emoji1]
Mume wa dada ananifurahisha sana hilo pozi na hiyo sehemu aliyopigia picha mi hoi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mume wa dada kakukaa sana Shiro !!!
Salama...kwako jeWadau nimepata muda nikaona ngoja niwasalimu wadau wangu wanguvu. Habari gani wadau?
Kama mi mumewe nakuja kumchoropoa makusudi tu ili kumpima [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unashangilia vizuri kweliMane jamanii
Shabiki wa Liverpool huyu atakuwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo wa kwenye picha eenh [emoji23][emoji23][emoji23]Shabiki wa Liverpool huyu atakuwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama omarion niaje!?Wadau nimepata muda nikaona ngoja niwasalimu wadau wangu wanguvu. Habari gani wadau?
Kwema sana. Za mishe mishe?Salama...kwako je
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unashangilia vizuri kweli