Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
911? Hao polisi mpaka wakafike watakuta kimdabuo kinaendelea na watajishangaa hata kilichowaleta hakuna...[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]liver wamepigwa kizembe goli la kwanza na la tatu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika bro. Kupambana muhimu sana hata kiblia ilo limeidhinishwa kabisa.Huo ndiyo uanaume sasa bro. Kupambana...
Dakika tano watakuta tayari nshamlegeza anahema. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wale huwa wanaibuka ndani ya dakika tano. Hata kimdabuo kitakuwa hakijashika kasi! [emoji23][emoji23]
Wameshinda?
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Ushageuka mara hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madrid wafunge la mwisho basi [emoji124]
Mpiraaaaaaaaaaaaaaaaaa umekwishaaaaaaaaaaaaaaaa