Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ice 3D akija hapa sipati picha. Au ni mshabiki wa Liver?
Maaaaaaaeeeeeeee!
Naona wamfuatilia vilivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gazeti la numbisa bhna,, lmechambua wanaume hapa
Yeah! Kama vile utani utani..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]liver wamepigwa kizembe goli la kwanza na la tatu
[emoji23][emoji23]Hili ni shambulio la aibu [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu kapiga mluzi ulipopita na msambwanda wako Shiro au ni hawa Liva wanavyogongwa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daa, kama ni kule Marekani anaweza kukuitia 911 huyu! [emoji1][emoji1]
Hicho ndo nachokiwaza hapa,, maana yule jamaa ana uwezo binafsi,, anaibeba sana CavsLBJ akiwakamia aisee you never know...
Waambie wasikupigie miluzi tena. Hatua Kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.Hili ni shambulio la aibu [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msambwanda wa hajaKuna mtu kapiga mluzi ulipopita na msambwanda wako Shiro au ni hawa Liva wanavyogongwa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa kweli linavutiaSanaa uongo dhambi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hawa liva asee mashabiki wake nahisi wamelala sasa hivi
He is a rare specimen. Wachovu wachovu huwa wanampisha kabisa...The GOATLBJ ni bulldozers lile! Kidogo tu apige triple double! Kesho/leo game 7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio mimi ni hawa livaWaambie wasikupigie miluzi tena. Hatua Kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.