Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23], halafu ulikuwa waombea niendeshe baiskeli uchi ujue[emoji23][emoji23]
Ni wewe uliyejitia kilingeni. RK naye alikuwa tayari kuondoka JF mazima. Mmepona sasa. Shangilieni ila hiyo yako ingekuwa powa sana [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
9. Hawachukii kazi zao

Unamkuta mtu kila saa analalamika hii kazi, hii kazi, hii kazi naichukia, hii kazi inanitesa, hii kazi siyo ya hadhi yangu, n.k. Lakini bado unamwona hapo anamaliza soli kuifuata na kuifanya kila siku.

Wanaume waliokomaa huthamini na kupenda kazi zao hata kama ni mbaya; wanatambua fika kuwa ubaya wa kitu unazidi kutokana na hisia ulizo nazo moyoni.

Kulalamika na kulaumu juu ya kazi ni tabia ya wanaume wachanga; ikiwa kazi inakushinda basi iache utafute nyingine au ujiajiri kama unaweza kuliko kuendelea kulalama.
 
10. Hawaogopi kuchukua maamuzi magumu

Kuna wakati kwenye maisha mtu unahitajika kufanya maamuzi magumu juu ya maswala mbalimbali. Wanaume waliokomaa huwa na uthubutu mkubwa tena bila hofu wa kufanya maamuzi magumu ambayo yatawanufaisha sasa na baadaye.

Hapa ninamkumbuka mtu mmoja aliyenieleza jinsi alivyochukua ujasiri mkubwa wa kuvunja mahusiano ya miaka minne na mpenzi wake baada ya mpenzi wake kuanza tabia ambazo zingegharimu ndoa yao iliyokuwa ifungwe karibuni.
 
Najua umeshajiuliza faida za kusafiri? Ndiyo, kusafiri kuna faida nyingi unazopaswa kuzifahamu. Swala la kusafiri au kutembelea maeneo mbalimbali halijazoeleka sana kwetu waafrika kama ilivyo kwa wenzetu wazungu.
 
Woooooooooooo
HiloooooooooView attachment 787104
Woiiiiiii
IMG_20180523_130706_707.jpg
 
Ni wewe uliyejitia kilingeni. RK naye alikuwa tayari kuondoka JF mazima. Mmepona sasa. Shangilieni ila hiyo yako ingekuwa powa sana [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ningevunja rekodi
 
Back
Top Bottom