ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nsamaka
Not available anymoreLionel Messi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena kweupeee.. Subiri post zake sasaCole Williams haya sasa nadhani unadhibitisha
Kama unavyoona ni mwendo wa likesMmeamkaje Wadau wa Likes
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kibiti
Karibu nilikuwa nakuulizia mkuuNaingia bila hodi
Naingia bila hodi
Nyote
Hamjambo
Natumai.
Kichwa kichafu mzee wa gari la kisasa Toyota carat T 014 AAA.
Gari lenye seat cover za kushonea
Kampakiza
Naona figisu zinaendelea kwenye usafuri wangu mpyaVumbi la kutosha
Kawasha
A/C hamna kitu
Vumbi tupu
Kikohozi anacho