in ha
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 1,729
- 3,899
[emoji122] [emoji122]Nywila = password....PIN...Code...
Kama sikosei lina asili ya lugha mojawapo ya Kibantu huko Kenya na lilipendekezwa na mwanazuoni machachari na mtetezi mkuu wa ubantu wa Kiswahili Sheikh Nabhany (RIP)
View attachment 787570