mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Jina ni jina tuSijui kwanini amejiita kichwa kichafu.
Jina ni jina tuSijui kwanini amejiita kichwa kichafu.
Yes my QueenThe one and only
Huyo mchina balaaAmekuja sasa hivi nipo dukani natafuta kama kuna silaha karibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi nimeanza kuogopaUna bahati ya kupendwa
Halafu wewe unapenda sana kujisifia.Tausi ni mimi
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilisema kazi ya Aleyn ni kung'oa mti na kuacha shimo tena kwa lazima. Ni bingwa wa kuharibu jinsia za watu
Mambo mamboNiko hapa kutoa likes za nguvu
Abiria chunga mzigo wakoHiyo haipo that my Queen only me
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kesha anza kulia liaWe siuko kwenye vita na mzee wa liver
HahahahaPamoja kuwa goddess ulinzi lazima
Namlinda na Yeye Ananilinda Mimi mwenyewe goddess