myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
18:15
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiukweli mimi pia nimecheka sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo sehemu ya wazi na hakuna watu hakika wengekuwepo wangenikimbiza mirembe kwa vipimo zaidi.
Ibada ya Mwenyezi Mungu haina pole mkuuWale wa ramadhani poleni
Meneja wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger, anatarajia kurejea Japan kuendelea na kazi yake ya ukocha.(Mail on Sunday).

Pole ni pongezi...Ibada ya Mwenyezi Mungu haina pole mkuu
Meneja wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger, anatarajia kurejea Japan kuendelea na kazi yake ya ukocha.(Mail on Sunday).
Meneja wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger, anatarajia kurejea Japan kuendelea na kazi yake ya ukocha.(Mail on Sunday).
He! Hapumziki?Meneja wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger, anatarajia kurejea Japan kuendelea na kazi yake ya ukocha.(Mail on Sunday).
Juventus imezungumza na Atletico Madrid kuhusu uwezekano wa kumsajili mlinzi mwenye asili ya Uruguay, Diego Godin, 32.(Calciomercato)
He! Hapumziki?

Pesa ni mwamuzi wa maisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mbele ya pesa hamna mapumziko
Mkuu huwa unapumzika saa ngapi?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] utani tu lakiniEeeh
Siyo ile dark skin ya usiku wa saa sita
Uwe na ka weusi mng'ao flan hivi
[emoji23]