Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Forex imempiga maana zile 50m alizokomba nabii wao bado zinawauma na jana jogoo kakatwa shingo madrid wamekunywa supu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata mimi nisingekuja humu hasa kama wewe upo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ayaaaaaa unajua kukata stimu wenzio halafu unanisingizia mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila forex imeliza wengi
 
D7AD3B29-1797-4F83-B8B0-156C12D9012F.jpeg
 
Back
Top Bottom