Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Viko vingi. Ila hoja yangu ni kwa nini kijana anarusha sana madongo kwa CR7
sasa mkuu "" mtu ameamua mwenyewe kuzitumia fikra zake "" katika kufanya hivyo halafu wewe unamuhoji"" wakati hajavunja katiba ..." ni haki kweli ......hata hivyo umesahau heading ya huu Uzi " inavyo sema mkuu""......comment chochote ili upate likes ''''
 
Hahahahaha, nunua mkuu, Mashabiki wa Madrid wameungana na wabaya wa Liverpool kwenye ipielo wamekuwa kitu kimoja hapa.
Madrid ..mashabiki wao hata wa 5 hawafiki Humu " hao wengine ni Watoto wa kambo wa Madrid "ambao kiuhalisia ni mashabiki wa man u "" wametafuta kivuli cha kujifichia baaada ya kuona team yao imefikwa na ukame wa makombe makubwa "" .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…