Yaani walio na mahaba na Ronaldo wengi WAO vichwa vyao vizito sana kupokeakwahiyo hicho ndio kigezo cha kumfanya cr7 awe bora mbele messi .mkuu"""?,.....
Aiseeee....""Yaani walio na mahaba na Ronaldo wengi WAO vichwa vyao vizito sana kupokea
Ukipata neema ya kunisaidia kupata nitashukuru sana najua you can do it
Ila ana nn man? [emoji23][emoji23][emoji23]Messi ana European golden boot 5
Viatu vya dhahabu Ronaldo hana.
Mi ni Manchester United fan na nilikuwa namkubali sana Penaldo sasa baada ya kumuona messi kwenye fainali mbili ambazo United alicheza na Barca Nikaona kabisa ronaldo hata akifa na kuzaliwa tena hawezi kuwa kama MFALME MESSI [emoji146]Hakika. Nimeona mapenzi ya mtu kwa Messi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Viko vingi. Ila hoja yangu ni kwa nini kijana anarusha sana madongo kwa CR7kwahiyo hicho ndio kigezo cha kumfanya cr7 awe bora mbele messi .mkuu"""?,.....
Sasa Champions League messi hajawahi chukua kwani??? [emoji23][emoji23][emoji23]Ila ana nn man? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Mna vyama vingi humu[emoji3]hivi jaji Mutungi anatambua uwepo wa vyama vyenu [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hujambo dadaWote sawa tu,mimi kama mwenyekiti wa chama cha dark skin hiyo rangi hatuitambui[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah kwanini huwezi nisaidiaMimi nikusaidie wewe???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nefaaaaaaaaaa
Edgar Davids enzi zake akicheza na miwani. Nadhani timu ya mwisho kuchezea UK ni Newcastle UnitedTaribo West, Edgar Davids, Rigobert Song wakiwa kwenye nyuso za kiutu uzima. Tafadhali nikumbushe wa mwanzo kushoto
Hivi wewe na Joachim low Kocha wa ujerumani alieiongoza chukua World Cup 2014 nani anajua mpira???Viko vingi. Ila hoja yangu ni kwa nini kijana anarusha sana madongo kwa CR7
Cr7 hana golden boot bro?Sasa Champions League messi hajawahi chukua kwani??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Anazo 4Cr7 hana golden boot bro?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Cr7 ni malkia
Habari mkuu, tangu kuisha kwa ile mechi ambayo Salah alivunjwa bega ili Madrid itwae ubingwa, hapa pamekuwa pachungunimerudi nyumbani...Maana nasikia kumenoga....woiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii