Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
AiseeeeKatika pitapita zangu nimegundua wanawake wengi hawapendi wanaume walio na rangi nyeupe, wanapenda Kitu black.
Kuna siri gani hapo?? Au labda kuna rangi mojawapo yaizidi kete nyenzie kwa upande wa ladha????
SIELEWI etii.