Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Most geckos can detach their tails — and regrow them later if necessary.
Wanasayansi wa MIT wanachunguza kwa muda sasa njia anazotumia huyu jamaa kujioteshea baadhi ya viungo vyake vilivyokatika. Wanasema wakiweza kugundua siri yake basi siku moja wataweza kuotesha viungo mbalimbali vya binadamu katika maabara na hivyo kusaidia watu wengi wenye uhitaji...
 
Kwa haya maelezo nimetamani kumjua huyu kiumbe zaidi na zaidi
 
ingekua hatua kubwa sana ki sayansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…