moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jiulize tu maana si hatujuagi hayo, kazi yetu ni moja tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Katika pitapita zangu nimegundua wanawake wengi hawapendi wanaume walio na rangi nyeupe, wanapenda Kitu black.
Kuna siri gani hapo?? Au labda kuna rangi mojawapo yaizidi kete nyenzie kwa upande wa ladha????
SIELEWI etii.