Jiulize tu maana si hatujuagi hayo, kazi yetu ni moja tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Katika pitapita zangu nimegundua wanawake wengi hawapendi wanaume walio na rangi nyeupe, wanapenda Kitu black.
Kuna siri gani hapo?? Au labda kuna rangi mojawapo yaizidi kete nyenzie kwa upande wa ladha????
SIELEWI etii.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hiyo ya rombo [emoji23]
Ucbovu wa vidole hauwezi zuia kuganga likes
Naona huyo Member bandiko lake limempa Ban [emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiulize tu maana si hatujuagi hayo, kazi yetu ni moja ti[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Niliangalia documentary hiyo kitambo sana na sijui sasa wamefikia wapi. Kiungo ghali na delicate sana ni ini na wagonjwa wengi wanaohitaji kuwekewa ini jipya hufariki wakiwa wanasubiri. Nia yao ni kuweza siku moja kukuza viungo hivi katika maabara.ingekua hatua kubwa sana ki sayansi