Ujinga ni nini? Ujinga ni pale watu milion 1 kwa siku wanachanga 500 kila mmoja wanampa mhindi mmoja ambapo ukijumlosha 500×milion 1= 500,000,000 yan kwa siku watu wanachanga milion zaid ya mia tano wanampa mhindi eti wanabeti na mhindi anaamua kuchukua milion 20 kati ya hizo milion 500 anawapa baadhi yenu na kuwaambia endeleeni kuchanga nyingine kesho tena changen nyingine nitawapa tena baadhi yenu milion 20 mgawane baadhi yenu na kama hujachanga kesho hautakiwepo kwenye mgao mnakubali mnaendelea kumchangia kila siku milion 500,000,000 akitoa milion 20,000,000 anabak na milion 480,000,000 kwa siku ukiichukua hiyo milion 480 nayoipata kila siku × mwezi mmoja yan 480×30=1,440,000,000 uan huyu mtu mwenye campun ya kubetisha kwa mwezi anakusanya bilion 1 na milion 440 kwa mwezi mmoja�� na baada ya kuzipata anapeleka kwenye nch zao anafanyia miladi mikubwa na kuiacha nch yako ikiwa masikin sababu hela mlizokuwa nazo mmempatia yeye na amepeleka kwao [emoji19]nch hii tusitegemee kuwa watu wenye maendeleo katika siku za usoni [HASHTAG]#endeleeni[/HASHTAG] kubeti[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]