Senegal
Ziwa Retba linaitwa Ziwa la Waridi, na kwa kuwa liko kilometa 30 tu kutoka mji mkuu wa Dakar, Senegal, ambayo ipo Afrika ya Magharibi,
Wageni hulitembelea Ziwa Hilo ili kujionea kama kweli lina rangi ya waridi. Lahaula ni kweli wafikapo hukuta kweli Ziwa Retba lina maji yanayong’aa na kwa kweli yana rangi ya waridi yenye kupendeza.
Mwangaza wa jua huathiri vijiumbe vilivyo majini na hivyo kutokeza rangi hiyo ya pekee. Hata hivyo, kuna mambo mengine yenye kupendeza mbali na rangi ya ziwa hilo.