Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Penguin [HASHTAG]#Emperor[/HASHTAG] anaweza kuogelea kwa haraka sana majini kuliko hata [HASHTAG]#samaki[/HASHTAG], kuruka juu ya barafu kwa kasi ya ajabu. #Swali_ni_Kuwa Je!
Pengwini [HASHTAG]#Emperor[/HASHTAG] Anawezaje kuyafanya hayo.?
 
#FIKIRIA_HILI: Pengwini huyo hubana hewa katika manyoya yake. Kwa Kufanya hivyo hakuzuii asipigwe na baridi tu bali pia kunamwezesha asonge mbele kwa kasi mara2 au 3 zaidi kwa kadiri anavyotaka na vile ambavyo angesonga.
 
#JINSI_GANI; Wataalamu wanaochunguza viumbe wa baharini wamesema kwamba huenda anafanya hivyo kwa [HASHTAG]#Kuachilia[/HASHTAG] _Viputo Vidogo-Vidogo sana vya hewa (pichani) kutoka kwenye manyoya yake.
 
Penwini huwa na kawaida ya kukaa kwa Makundi makubwa (Cologne) na Muda wa Asubuhi na Jioni mara nyingi utawakutabwakiwa pamoja kwa Makundi.
Kwa kupendeza, [HASHTAG]#Mainjinia[/HASHTAG] wamekuwa wakijifunza njia za kufanya #Meli_Zisonge kasi zaidi kwa kutumia Viputo vya hewa ili kupunguza msuguano uliopo kati ya maji na Meli
 
IMG_20180523_221427.jpg
 
Back
Top Bottom