Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezaji wa kiungo cha kati wa The Blues mwenye umri wa miaka 27 Mfaransa N'Golo Kante, ambaye amekuwa akipigiwa upatu kuhamia na Paris St-Germain, anasema kwamba huku akipenda kuishi mjini London, moyo wake utasalia Paris. (Star)
 
하하하 하하하아아아하하하 하하하아아아
gwenchanah gwenchanah
hata diamond platnumz baadhi ya sehemu hajulikani lakini huku kwetu afrika mashariki ndio mfalme.
ulianzaje kuifahamu real madrid ?
Sijaulizwa ngoja nijibu kwa upande wangu

Ni kupitia ronaldo de lima na zidane,roberto carlos nilikua nawapenda kweli hao hasa kwa stika zao za kwenye jojo,baade nikasikia kuna ronaldo mwingine man u nikapuuzia nikisema hana kiwango cha de lima
 
Liverpool wako tayari kumtafuta mlinda lango huku mchezaji wa Roma Mbrazil Alisson, mwenye umri wa miaka 25, na Mslovania Jan Oblak mwenye umri wa miaka 25 anayechezea Atletico Madrid wakiwa miongoni mwa wanaolengwa na Liverpool. (Mirror)
 
Back
Top Bottom