Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anayenidai likes nitamlipa kesho wapendwa. Kaweni na siku njema na Mungu Awabariki sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
Asante Bro, Siku njema na kwako pia!
Be strong!!
 
Ulale salama...
Mungu akulinde[emoji120][emoji120][emoji120]
 
1= Maji yaliyopo karibu zaidi na uso wa dunia, huwa na uchafu mwingi (maji taka) ambapo Hayafai kwa Matumizi ya Binadamu, maji haya mara nyingi [HASHTAG]#unapoyachimba[/HASHTAG] hufaa tu kwa matumizi ya Kufulia au kuogea na si safi kwa matumizi ya kunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…