[emoji16][emoji16]Ai emu wochingi yu klosili ohoooo [emoji16][emoji16][emoji16]
I'll live, rest assuredly.[emoji23][emoji23][emoji23] Komredi habari ni njema kabisa. Majeraha yatapona tu usiwe na haraka
Za kuadimika ni salama kabisa rafiki, vipi uko poa lakini wewe?Waaaow thank u much,za kuadimika humu?
Hivi ni nani karne zilizopita aliwahi kuiba hili jiwe na kupeleka kwake ???
Siku hizi ndio mida unayoibuka kilingeni?[emoji23]04:00
[emoji23][emoji23][emoji23]mbona approaching zimekaa vyema sana. Hope hujajifunzia hapa Ndani. LolThere’s a magnet in my stomach
That drags me ever closer
To the iron in your blood.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah huyo hawezi kuwa Normal hata kidogo.Hivi ni nani karne zilizopita aliwahi kuiba hili jiwe na kupeleka kwake ???
Karibu aisee. Mpaka tunaanza kuhisi ID flani ni yako. Pole na maswaibu yaliyokukuta maybe.Za kuadimika ni salama kabisa rafiki, vipi uko poa lakini wewe?
Ni nini? [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikonpoa kabisa kama avatar ya davet hahahaZa kuadimika ni salama kabisa rafiki, vipi uko poa lakini wewe?