Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
[emoji188] [emoji188]Yes! Kama ni kikubwa nashindilia makaratasi kwanza, lazima kinitoshe tu! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
[emoji188] [emoji188]Yes! Kama ni kikubwa nashindilia makaratasi kwanza, lazima kinitoshe tu! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,Anamtia majaribuni Mwalimu wake, hajawajua Waalimu huyu mtoto! [emoji23][emoji23]
Ile game ni 50/50,,Cavs na GSW wanajuana vzr, yeyeto pale anauwezo wa kuchukua!Ile ngoma ni nzito. Wale snippers wa GSW ni hatari!
Mie huku salama kabisaaa mkuu.... Siku ilikuwa poa japokuwa uchovu uchovu......Za kwako?Salama kitoo,u mzima ww? siku yako imeendaje huko?
Huku salama pia, tunamshukuru Mungu,,, pole kwa uchovu jakitoo!Mie huku salama kabisaaa mkuu.... Siku ilikuwa poa japokuwa uchovu uchovu......Za kwako?
Ile game ni 50/50,,Cavs na GSW wanajuana vzr, yeyeto pale anauwezo wa kuchukua!
[emoji188] [emoji188]
Poa sana
Kwema lakini?Yetu macho na masikio Mkuu. Ngoja tusubiri!
Ahsanteee ninge[emoji120] [emoji120] [emoji120]Huku salama pia, tunamshukuru Mungu,,, pole kwa uchovu jakitoo!
Hatarious[emoji1][emoji1]
Kijana amepata ushujaa ni vile tu yuko ulaya, angefanya aliyofanya akiwa Afrika asingepata sifa yoyote mpaka siku ya màzishi yake
We mwenyewe zimamoto[emoji3] [emoji3] [emoji3]