HahahaKwakweli namuona tokea lini kaamua kuanika hisia zake hazarani [emoji2]
Hahah!! Kwakwel mwana hataki kua mnafiki kabisa sisi wengine tunazinguka sana mbuyuHahaha
Ni sawa ni nani hawezi mpenda lesista she good girl.
Ila.jama ana jutahidi kuwa muwazi
Mi sizunguki nnaye mpenda anajua [emoji1]Hahah!! Kwakwel mwana hataki kua mnafiki kabisa sisi wengine tunazinhuka sana mbuyu
Hahah!! Wewe jamaa bhana...Mi sizunguki nnaye mpenda anajua [emoji1]
Wewe ulikuwa una zunguka eeh?
Hahahaha braza kama ulizunguka zunguka tuu. UmeumiaHahah!! Wewe jamaa bhana...
Wacha zako wewe [emoji23][emoji23]... unasubiri game zako nini?Hahahaha braza kama ulizunguka zunguka tuu. Umeumia
The guy is straighy shoote, jamaa ana shuti moja kwa moja yaan