Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Nilikaa mbali nikawa nalisoma picha linavyoenda hakika ulitisha sana [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Am a fool, ila huwa najua ndugu yangu huwa una nihitaji maeneo yepi nikuoe assist. So its alright bro.
Na wewe shikilia sasa usiachie, nawakubali sana mazee!
 
Huu si ndio uzi wa likes? Nilipita nikupe hi tu nalala zangu.

Leo unaona hata like stoi, ratiba yangu haikuwa kuwepo hapa[emoji23]
Aah! Nilikua namaanisha usiku mnene mzee naona nimeanza kupata wenge [emoji2]...

Kwakweli naona unapita juu juu tu, sema sio kesi..
 
Aah! Nilikua namaanisha usiku mnene mzee naona nimeanza kupata wenge [emoji2]...

Kwakweli naona unapita juu juu tu, sema sio kesi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pumzika mdogo wangu
Kule sjaenda.
Maelezo niliyo kupa ndio hayo nlikuwa nakupa hi.
Leo stoi like hata moja hilo ni mpaka kesho


Gud nyt brother, mpe hi shemeji
 
Back
Top Bottom