[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aaah! Lesistaa!Wacha zako wewe [emoji23][emoji23]... unasubiri game zako nini?
Hahah!! Mimi nipo safi ndugu, vipi wewe?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aaah! Lesistaa!
Hamna game leo, nimekuja kukusalimia tuu ndugu yangu. Maana ndio mida ya kukuona hii.
Salama ndugu yangu.Hahah!! Mimi nipo safi ndugu, vipi wewe?
Nikweli kila kitu kipo sawa, alafu juzi kati nilikuotea mitaa fulani unaweka mambo sawa [emoji2]Salama ndugu yangu.
Natumaini kila kitu kiko salama kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikweli kila kitu kipo sawa, alafu juzi kati nilikuotea mitaa fulani unaweka mambo sawa [emoji2]
Kwenye uzi wa mama sabrina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mitaa gani bob?
Usje ukaanza kuchanganya mafaili
AaaahKwenye uzi wa mama sabrina
Hahah! Nilikaa mbali nikawa nalisoma picha linavyoenda hakika ulitisha sana [emoji23]Aaaah
Hahah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekusoma.
We ndugu yangu lazima niwe nakufagilia njia sometimes
Nawapenda wote nyie wawili [emoji23] [emoji23]