[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah! Nilikaa mbali nikawa nalisoma picha linavyoenda hakika ulitisha sana [emoji23]
Hahah! Kweli hatupoi, upo kwa wadau wako wa likes nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Am a fool, ila huwa najua ndugu yangu huwa una nihitaji maeneo yepi nikuoe assist. So its alright bro.
Na wewe shikilia sasa usiachie, nawakubali sana mazee!
Huu si ndio uzi wa likes? Nilipita nikupe hi tu nalala zangu.Hahah! Kweli hatupoi, upo kwa wadau wako wa likes nini?
Aah! Nilikua namaanisha usiku mnene mzee naona nimeanza kupata wenge [emoji2]...Huu si ndio uzi wa likes? Nilipita nikupe hi tu nalala zangu.
Leo unaona hata like stoi, ratiba yangu haikuwa kuwepo hapa[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pumzika mdogo wanguAah! Nilikua namaanisha usiku mnene mzee naona nimeanza kupata wenge [emoji2]...
Kwakweli naona unapita juu juu tu, sema sio kesi..
Pamoja sana braza ulale salama aisee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] pumzika mdogo wangu
Kule sjaenda.
Maelezo niliyo kupa ndio hayo nlikuwa nakupa hi.
Leo stoi like hata moja hilo ni mpaka kesho
Gud nyt brother, mpe hi shemeji