Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumbo:
Tangawizi inatumika kutuliza maumivu ya tumbo, yanayotokana na matatizo ya
usagaji chakula, kuharisha, kuvimbiwa, n.k. Inapotumiwa katika chakula tangawizi husaidia usagaji chakula. Aidha tangawizi humuongezea mtu hamu ya kula.
 
Nguvu za Kiume: Tangawizi husaidia kuongeza nguvu za kiume kwa kutibu tatizo la mwanamume kutoa shahawa haraka na kufanya uume kusimama kwa sababu ya madini ya potassium yaliyomo ndani yake pia inaimarisha mzunguko wa damu hivo kufanya damu ya kutosha kufika kwenye uume.
 
Back
Top Bottom