Tumbo:
Tangawizi inatumika kutuliza maumivu ya tumbo, yanayotokana na matatizo ya
usagaji chakula, kuharisha, kuvimbiwa, n.k. Inapotumiwa katika chakula tangawizi husaidia usagaji chakula. Aidha tangawizi humuongezea mtu hamu ya kula.
Kichefuchefu na Kutapika:
Utafiti unaonyesha kuwa tangawizi ni tiba mufti kwa matatizo haya. Aidha huweza kutumiwa kupunguza tapishi inayotokana na uja uzito.
Kichefuchefu na Kutapika:
Utafiti unaonyesha kuwa tangawizi ni tiba mufti kwa matatizo haya. Aidha huweza kutumiwa kupunguza tapishi inayotokana na uja uzito.
Malaria: Husaidi kutibu Malaria na Homa ya Manjano.Hii ni kutokana na gingerol iliyomo ndani yake ambayo husaidia kupunguza inflammation,na kusaidia wagonjwa wa malaria kupona haraka.
Nguvu za Kiume: Tangawizi husaidia kuongeza nguvu za kiume kwa kutibu tatizo la mwanamume kutoa shahawa haraka na kufanya uume kusimama kwa sababu ya madini ya potassium yaliyomo ndani yake pia inaimarisha mzunguko wa damu hivo kufanya damu ya kutosha kufika kwenye uume.