Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaahaha, eeh bwana eeh hili nalijua kwa kufundishwa kidogo.
Naona umeniletea na picha kabisa...
ㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋ
ㅎㅎㅎㅎㅎㅎㅎㅎㅎ
nimejisikia faraja sana kuona comments zangu zimenukuliwa na mmoja kati ya watu wenye upeo mkubwa sana wa kusoma, kufuatilia na kuyafanyia uchambuzi maswala ya kiulimwengu.
mungu azidi kukubariki brother.
건배 (geonbae) = cheers

 
an nyeong ha siut seum ni ka ?
gieog nani Taemushin Go Hwanje ???
aigoooooo
utanifanya nitafute kamusi la kikorea ndipo niweze kujibu nondo zako haliyakuwa ndio kwanza naanza kuweka mbolea kwenye shamba langu.
Taemushin muhyool (daemusin = god of war) ni mfalme aliyenivutia sana historia yake na ndio maana username yangu nikatumia Damushin.
mwandamu aliyerithi madaraka ya baba yake (yuri) akiwa na miaka 14 na kufanikiwa kuongoza vita dhidi ya tawala ngumu kama dongbuyeo ya mfalme daeso ambaye alikuwa ni babu yake na kufanikiwa kumuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…