Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bd72jb1hqog.jpg
 
aigoooooo
utanifanya nitafute kamusi la kikorea ndipo niweze kujibu nondo zako haliyakuwa ndio kwanza naanza kuweka mbolea kwenye shamba langu.
Taemushin muhyool (daemusin = god of war) ni mfalme aliyenivutia sana historia yake na ndio maana username yangu nikatumia Damushin.
mwandamu aliyerithi madaraka ya baba yake (yuri) akiwa na miaka 14 na kufanikiwa kuongoza vita dhidi ya tawala ngumu kama dongbuyeo ya mfalme daeso ambaye alikuwa ni babu yake na kufanikiwa kumuua.
thumb.jpg
Taemushin alikuwa ni noma sanaa.
Bila yeye Goguryeo ingekuwa imeshasambaratika kwa kuchapwa na Han. Alitwangana na sana wachina kuliko hata baba yake......
 
Back
Top Bottom