Ni wimbo eti tangazo la efm kama sijakosea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HATUPOI
wababe wa mpira
bado siku chache..Fifa World cup 2018 Rusia
Chaaa [emoji28] [emoji28] itabidi nianze kusikiliza E fm aiseeNi wimbo eti tangazo la efm kama sijakosea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
he! hajafika tu....Uko wapi mpenzi wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Au angalia TV E utalionaChaaa [emoji28] [emoji28] itabidi nianze kusikiliza E fm aisee
Azam TV wanaonyesha???bado siku chache..
[emoji28] [emoji28] [emoji28] haya[emoji23][emoji23][emoji23]Au angalia TV E utaliona
Taemushin alikuwa ni noma sanaa.aigoooooo
utanifanya nitafute kamusi la kikorea ndipo niweze kujibu nondo zako haliyakuwa ndio kwanza naanza kuweka mbolea kwenye shamba langu.
Taemushin muhyool (daemusin = god of war) ni mfalme aliyenivutia sana historia yake na ndio maana username yangu nikatumia Damushin.
mwandamu aliyerithi madaraka ya baba yake (yuri) akiwa na miaka 14 na kufanikiwa kuongoza vita dhidi ya tawala ngumu kama dongbuyeo ya mfalme daeso ambaye alikuwa ni babu yake na kufanikiwa kumuua.
hapana...Azam TV wanaonyesha???
Duhhhapana...
dstv na star times