YURI alikuwa na bahati mbaya sana baada ya kupoteza watoto wake wakubwa wawili na ndipo ilibidi muhyool awe mrithi wake, nadhani pia kugawanyika kwa taifa baada ya mwanamama shupavu
soseono kuondoka na watu wake na kuelekea kusini kulipelekea goguryeo kupoteza nguvu zake kwa kiasi kikubwa.
na hata baadhi ya waliokuwa watumishi wa karibu wa mfalme Jumong hawakuvutiwa na siasa ya
yuri jambo lililopelekea baadhi yao waamue kung'atuka.
ila gwanggaeto the great alikuwa ni zaidi ya binadamu wa kawaida.
hahahahahahaaaaa
naamini kama angeliishi mpaka miaka 60 basi kwa kutumia jambia lake angeliendelea kutembeza kipigo kwa wapinzani wake mpaka akafanikiwa kufika kijijini kwenu ulipozaliwa.
huyu mjinga alitembeza kipigo mpaka urusi
shikamoo gwanggaeto.
Ahsante sana mungu kwa kuichukua roho ya binadamu huyu haliyakuwa bado alikuwa anaingia miaka 40.