Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images
 
Kuna watu wanadai Rosa Lee ni female rapper mkali kuwahi kutokea bongo mkuu,,

Sasa wangepata tym ya kumsikiliza Zay B
Hahah! Rosa mbona wanampa mashavu sana, naona ule unyamwezi wake ndio unawazingua ila kuna mademu wapo vizuri zaidi,

kama huyu anaitwa Stosh au ata yule Witness kibonge mwepesi nae ni nyoko sana...
 
Back
Top Bottom