Kachana anatia huruma sana[emoji23][emoji23]
Kafanya nn?
Kuna watu wanadai Rosa Lee ni female rapper mkali kuwahi kutokea bongo mkuu,,Zeyb sasa yupo gado
Fresh naona unaturudisha kitambokwema kwako?
Mashairi yamejaa kisadoZeyb sasa yupo gado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] All is well
Khaa! Kwa nini?Kachana anatia huruma sana
enzi hizo...Fresh naona unaturudisha kitambo
Maandishi yake yametulia!Yara [emoji171]View attachment 789864
Aiseeee huyo Rosa binafsi sijawahi msikiliza lakini kivyovyote huwezi mfananisha na ZeybKuna watu wanadai Rosa Lee ni female rapper mkali kuwahi kutokea bongo mkuu,,
Sasa wangepata tym ya kumsikiliza Zay B
SWV, TLC, Salt-N-PepaBado wapo sema wamekuwa now, umr umeenda kuna kipindi niliona walikuwa wapo na project ya kureunit tena,, sijui hata wamefikia wapi,,
Unawakumbuka Total
Ni mkali kweli[emoji125][emoji125]Kuna watu wanadai Rosa Lee ni female rapper mkali kuwahi kutokea bongo mkuu,,
Sasa wangepata tym ya kumsikiliza Zay B
Hahah! Rosa mbona wanampa mashavu sana, naona ule unyamwezi wake ndio unawazingua ila kuna mademu wapo vizuri zaidi,Kuna watu wanadai Rosa Lee ni female rapper mkali kuwahi kutokea bongo mkuu,,
Sasa wangepata tym ya kumsikiliza Zay B
Daah Safi sana weka vituenzi hizo...
Umefanana nae sanaYara [emoji171]View attachment 789864
Alafu nitakupiga sasa naona maswali yako yamekua mengiKhaa! Kwa nini?