ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Zile kubwa? [emoji23]Hivi zile elfu10 za zamani bado zinatumika?
Zile kubwa? [emoji23]Hivi zile elfu10 za zamani bado zinatumika?
Hatupoikumepoa Humu
NdioZile kubwa? [emoji23]
Zinatumika ila hazipo nyingi sanaNdio
Basi mimi ninayo moja nimeikuta kwenye nguo sijaivaa siku nyingi sana, sasa ilikua inanitisha isijekua haitumiki na mimi nikaitumia watu wakaniona sioZinatumika ila hazipo nyingi sana
Sina uhakika lakini [emoji13][emoji13][emoji13]ils zinatumika bwanaBasi mimi ninayo moja nimeikuta kwenye nguo sijaivaa siku nyingi sana, sasa ilikua inanitisha isijekua haitumiki na mimi nikaitumia watu wakaniona sio
Pale young money ilipokuwa young money [emoji91]Bedrock
Hahah!! Wewe utanichoma sikuamini tena bora niiache kama kumbu kumbu tu [emoji23][emoji23][emoji23]Sina uhakika lakini [emoji13][emoji13][emoji13]ils zinatumika bwana