Ukisoma vizuri Historia mfalme wa Uchina (Tang-Dynasty) baada ya kupigana na Goguryeo aliacha wosia kwenye kaburi lake kwamba "Do not attack Goguryeo" kwasababu walikuwa na nguvu sanaaa kijeshi na kwenye Espionage ndiyo walikuwa wanaongoza kwenye ule ukanda.
hahahahaaaaa
Emperor Taizong (li shimin) (28 January 598 – 10 July 649) alikutana na dhoruba ya hatari zaidi ya kimbunga kutoka kwa wanajeshi wabishi wa goguryeo chini ya
general yang manchun.
li shimin ndiye aliyemsaidia baba yake kupindua utawala wa sui dynasty na kuanzisha utawala wa TANG.
mwaka 643 AD goguryeo waliivamia Silla ndipo shilla wakaomba msaada kwa tang na mfalme li shimin akaamua kuwasaidia kwa kuishambulia goguryeo na alifanikiwa kuidhibiti miji ya liaodong na baicun.alipoona kampeni imefanikiwa akaamua avamie mji mkuu wa Pyongyang ili aifanye goguryeo koloni lake.
alifanya kosa kubwa sana li shimin na ndio maana aliomba mrithi wake asiivamie goguryeo.
balaa wanajeshi wa goguryeo walirudi kwenye vita iliofanyika Mount Zhubi hivyo basi ngome ya ANSI ikiongozwa na general YANG MANCHUN ilishajiandaa kwa uvamizi wowote dhidi ya Tang.
tang walikuwa na machaguo mawili ikiwemo kwenda moja kwa moja hadi pyongyang au wapite ANSI FORT ili ngome hiyo nayo waimiliki.
wakati wa mjadala na li shiji alimwambia
nasikia ngome ya ansi ni ngumu sana na hata kiongozi wake alikataa kumuunga mkono yeon gaesomun kwenye mapinduzi, na hata yeon gaesomun alishindwa kumshawishi yang manchun amuunge mkono na mwisho yeon gaesomun akaamua aendelee kumuacha manchun awe kiongozi wa ansi fort.
hivyo nasi ni bora tushambulie geonan na ndipo tuvamie ansi fort.
jeshi la tang lilikutana na dhoruba kali sana licha ya kuwa na idadi kubwa ya wapiganaji na chakula cha kutosha.
hahahahahhaaaaaaa nadhani ujasiri wa korea kaskazini unatokana na goguryeo