Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20180530-173718.jpg
 
Wachezaji wa Uingereza wamezungumzia kuhusu hatua watakazochukua iwapo wenzao watabaguliwa kwa vigezo vya rangi katika michuano ya kombe la dunia nchini Urusi mwezi Juni kulingana na Ashley Young.
Shirikisho la soka nchini Urusi hivi majuzi lilipigwa faini ya £22,000 kwa kelele za ubaguzi wa rangi wakati wa mechi ya kirafiki dhidi ya Ufaransa mnamo mwezi Machi.
"Wakati unapokuwa katika uwanja hujui utakachofanya'' , alisema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32.
''Tumezungumza kuhusu swala hilo na tumelizungumzia katika kikosi chetu-kile tutakachofanya na kile ambacho hatutafanya''.
 
Aliongezea: Tuna matumaini Fifa itaweza kukabiliana na swala hilo.
Mchezaji wa Ufaransa Paul Pogba , Ousmane Dembele na Ngolo Kante walidaiwa kuwa miongoni mwa wachezaji walionyanyaswa katika mechi yao ya ushindi wa 3-1 dhidi ya waandalizi hao wa kombe la dunia.
Mechi hiyo ilichezwa katika uwanja wa Krestovsky mjini St Petersburg, ikiwa ni miongoni mwa viwanja vitakavyoandaa kombe hilo la dunia.
Taarifa kutoka kwa shirikisho la soka duniani Fifa imesema kuwa shirika hilo halitavumilia ubaguzi wowote.
Hatahivyo, Lord Ouseley , mwenyekiti wa kampeni dhidi ya ubaguzi wa rangi Kick It Out, aliitaja faini hiyo iliotolewa na Fifa kuwa hafifu mno.
 
'Wachezaji huwakasirisha ama kuwafurahisha watu'
Mchezaji huyo wa Manchester United alihusika katika mgogoro na mchezaji wa timu pinzani aliyeko katika kikosi cha Uingereza Dele Alli wakati timu zao zilipomenyana mwezi Oktoba.
United iliibuka na ushindi wa 1-0 na ijapokuwa Young anasema kuwa wawili hao wamefanya mzaha katika vikosi vya awali , anajua kwamba wachezaji wa Uingereza lazima wawe na tahadhari ya kuchokozwa nchini Urusi.
''Unajua katika uwanja wachezaji huwafurahisha ama hata kuwakasirisha mashabiki'', alisema. ''Hujaribu kuwalenga watu fulani. hutokea katika soka ya vilabu
 
'Wachezaji huwakasirisha ama kuwafurahisha watu'
Mchezaji huyo wa Manchester United alihusika katika mgogoro na mchezaji wa timu pinzani aliyeko katika kikosi cha Uingereza Dele Alli wakati timu zao zilipomenyana mwezi Oktoba.
United iliibuka na ushindi wa 1-0 na ijapokuwa Young anasema kuwa wawili hao wamefanya mzaha katika vikosi vya awali , anajua kwamba wachezaji wa Uingereza lazima wawe na tahadhari ya kuchokozwa nchini Urusi.
''Unajua katika uwanja wachezaji huwafurahisha ama hata kuwakasirisha mashabiki'', alisema. ''Hujaribu kuwalenga watu fulani. hutokea katika soka ya vilabu
 
Ni miongoni mwa maswala nyeti lakini lazima tuwe na wachezaji 11 uwanjani kila mara na nadhani kuna uzoefu wa kutosha katika kikosi hiki kujua iwapo mtu anachokozwa ili kuwaondoa na kuwaambia kuwa mtulivu ama hata kuzungumza na refa ili kumjulisha kinachoendelea''.
"Tumezungumza kuhusu visa tofauti. Hayo ni siri yetu lakini ninahakika kuna mambo yatafanyika katika mchuano huu''.
 
ni kweli ardhi ya goguryeo eneo lake kubwa lilizungukwa na milima na mabonde na ndio maana watawala wengi wa goguryeo waliona njia pekee ya kupata msosi wa kutosha ni kuzitawala nchi nyengine hususan baekje na shilla ambazo zilikuwa zinapatikana ukanda wa kusini.
eneo la kusini mwa korea ndio lenye ardhi nzuri sana ya kilimo kuliko eneo la kaskazini na upande wa manchuria.
vita ndio ilikuwa njia pekee ya wananchi wa goguryeo na serikali yake kupata mali nyingi na za kuiendesha serikali yao ili kuwapunguzia wananchi mzigo wa kodi na kuachana kungojea msimu wa kulima mazao yenye kukaa kwa muda mrefu.
mwaka 404 aliivamia japan na kulishinda jeshi lao baada ya kuombwa msaada na nchi ya Silla.
unadhani ni sahihi kwa china kudai ya kwamba goguryeo ilikuwa ni eneo lao la kihistoria?

Hawadai tu eneo, wanasema hadi GO Family ni wachina...
Upitoshaji wa Historia, kwasababu ukweli ni kwamba Goguryeo ilifika hadi Uchina na kutawala falme kama SUI na WEI.

Lilileta majibishano mazito kama miaka minne iliyopita, hadi nikashangaa sana sanaa. Japo walikuwa na muingiliano mkubwa sanaa sanaaa kama ambavyo sisi tunao na Kenya. Hata baadhi ya maneno ya Kikorea yalikuwa ni kichina hadi pale Mfalme Sejeong alipoamua kubadilisha na kutumia herufi tofauti kabisa na zile za Uchina...Lakini kwa kipindi hiki ni ngumu kusema kwamba ni maeneo yao kwasaabu Uchina hii ya leo ni zao la Ufalme wa Mongolia, na bahati mbaya sana Korea waliasi kwa Mongolia na kuamua kujitegemea hivyo hawakuingiliana saana na Mongols kama Wachina.....

NB: Ila Ukweli mchungu ni kwamba hawa ni ndugu kama tulivyo sisi na Wakenya
 
Rais wa klabu inayocheza ligi ya daraja la tatu nchini Italia Rimini FC amesema yuko tayari kumchukua mlinda lango wa Liverpool Loris Karius kwa mkopo wa mwaka mzima kama zawadi yake ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ambayo ni tarehe 22 Juni. Kwa hiyo Mjerumani huyo mwenye umri wa miaka 24 anaweza walau "kutulia na kujiamini tena" baada ya aibu aliyoipata katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. (Rimini FC)
 
Back
Top Bottom