Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Malalamiko kuwa ‘watoto wa siku hizi’ wana tabia zisizokubalika yamekuwa mengi.
Walimu na jamii kwa jumla wanawanyooshea kidole wazazi, kwa madai kuwa wamesahau wajibu wao wa kimalezi.
Wazazi nao wanarudisha lawama kwa walimu kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kuwaelimisha watoto.
Hoja ya wazazi wengi ni kwamba katika umri fulani mtoto hutumia muda mrefu zaidi shuleni kuliko nyumbani.