Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mtoto aliyedekezwa hukua na utegemezi unaomfanya aamini watu wengine wanawajibika kumfanyia vitu fulani fulani.
Hali kama hii inaweza kuzalisha matatizo kadiri anavyokua.
Wengine hutafuta ukaribu na watoto kwa kuwabana mno. Mtoto anayebanwa hana uhuru wa kuchagua na mara zote hutegemea mwongozo wa mzazi.
Hatari yake ni kujenga tabia zinazoanzia nje, uasi wa mamlaka unaoweza kuzalisha matatizo ya kinidhamu ikiwa mtoto atapata fursa ya uhuru baadaye.