Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6. Majina ya matoleo ya Android yamekuwa yakipewa majina ya vyakula vyepesi au majina ya majangwa

Ukiacha android 1.0 na 1.1, matoleo mengine yote ya mfumo endeshi huu yamekuwa yakifuata majina ya vyakula vyepesi (sweet treats) au majangwa. Mfano wa majina hayo ni kama CupCake, Donut, Eclair, Froyo, Gingerbread, Honeycomb, Ice Cream Sandwich, Jelly Bean, Kitkat, Lollipop, Marshmallow na android N ambayo bado haijatoka rasmi.
 
Screenshot_20180524-184353.jpg
 
8. Android ni Open Source (Huru na wazi)

Google wanatoa mfumo endeshi huu bure kwa watengenezaji na watumiaji wa mfumo endeshi huu na kuyapa nafasi makampuni mengi kutumia mfumo endeshi huo bila malipo. Hii inachangia sana kukua kwa mfumo endeshi huu.
 
  • 9. Soko la wazi la kuuza na kusambaza Applications

  1. Google ni mwanachama wa Open Handset Alliance (OHA), Android inawapa watumiaji wake ruhusa ya kutuia source code zake bure bila malipo. Hii imepelekea kuzuka kwa matoleo tofauti mengi ya Android ambayo hayahusiani moja kwa moja na Google.
 
Back
Top Bottom