Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kabisa sioni ubaya kucha tu? ni sawa na kunyolewa na mwanaume mwenzioWa kusafichwa kucha na mwanaume mwenzio??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa sioni ubaya kucha tu? ni sawa na kunyolewa na mwanaume mwenzioWa kusafichwa kucha na mwanaume mwenzio??[emoji23][emoji23][emoji23]
Daddy ni mnoma sana acha kabisaHeee! Daddy amesaidia hadi ndoa ifanyike
Daddy katisha
[emoji4] [emoji4] [emoji4] thank you.Nko poa sana mimi
[emoji4][emoji4]to see you
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daddy ni mnoma sana acha kabisa
AaahKabisa sioni ubaya kucha tu? ni sawa na kunyolewa na mwanaume mwenzio
Poa tu mkuu....Vipi mkuu?
Shikamooni wanaume wa dar[emoji124][emoji124][emoji124]Lakin pia si ni kazi yake hiyo jama wanasaidiana ili apate pesa mwengine apate usafi
Kabisa sioni ubaya kucha tu? ni sawa na kunyolewa na mwanaume mwenzio
Yule si prince bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila ukiwa karibu na Makonda kipindi hiki
Aaah wewe auna neema tuu
Yale yale tuAaah
Braza kunyolewa ni ishu tofauti.
Sasa Carba wangu nyanda za juu hata wanao safisha kucha wanawake hawapo.Shikamooni wanaume wa dar[emoji124][emoji124][emoji124]
Kule kwetu nyanda za juu kusini huwezi kuta wanafanya hivyo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hamna bhanaYale yale tu
HahahahaYule si prince bhana
Waswahili wanasema kaa na uwaridi unukie
Sasa Carba wangu nyanda za juu hata wanao safisha kucha wanawake hawapo.
Tena mtu anasafishwa kucha hadharani jaman sioni kama ana ttzo. ( japo mi siwez fanya hivo) ila sijaona shida hapo
Tena jamaa abarikiwe ana msaidia dogo kupata rizki
Mad partner[emoji23][emoji23][emoji23]i like thatNiggas must just accept the fact that girls are always Moody[emoji53],childish[emoji23] Emotional[emoji24]
Sensetive[emoji21]and crazy [emoji23]it's just a matter of choosing ur mad partner and settle down[emoji4][emoji7]
Yale yale tuHamna bhana
Hapo umezidiaha kumetetea mchiz[emoji23]
Kunyoa.ni ishu ingine kabsaa