Asante, nitakunywa baadae...ngoja nikipooze humu hahahaPolee miller.....Kunywa maji mingiiiii kitapoaa at least
Hahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kalala labda
Yeees!!Kutokana na hili, yapo madaraja mbalimbali yaliyojengwa sehemu mbalimbali duniani ili kuboresha usafiri wa barabara na reli. Karibu uongeze maarifa yako kwa kufahamu madaraja 15 makubwa au marefu zaidi duniani kwa sasa.
Heheheh No[emoji23]You think its bad ???
hizo ni baadhi ya video games ambazo huwa nazipenda...hazina ugumu sana ukilinganisha na CALL OF DUTY hahahaSi mchezo unaweza weza mkuu.
Hahahahahha.... Sawa millerAsante, nitakunywa baadae...ngoja nikipooze humu hahaha
Noma sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha
Basi ngoja nimwache apumzike
Sasa kama hulet picha unadhan tuta aminije mweeh!Daraja la Danyang–Kunshan
Daraja la Danyang–Kunshan ndilo daraja refu kuliko yote duniani, lina urefu wa kilometa 164.8. Daraja hili linapatikana huko China kati ya Beijing–Shanghai na lilikamilika kujengwa mwaka 2010. Daraja hili hutumiwa na treni ya umeme inayokwenda kasi.