Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daraja hili limejengwa kwenye njia ya treni ya kasi kubwa ya Beijing – Shanghai huko China. Daraja hili lina urefu wa kilometa 105.8 na limejengwa kwa mfumo ambao linaweza kustahimili matetemeko; lilikamilika mnamo mwaka 2010.
 
Daraja la Weinan Weihe

Hili ni daraja linalopatikana katika njia ya treni ya kasi kubwa ya Zhengzhou–Xi’an huko China. Daraja hili lina urefu wa kilometa 79.6 na linakatiza mto Wei mara mbili, mito mingine kadhaa, barabara kadhaa pamoja na njia kadhaa za treni.
 
Sasa kama hulet picha unadhan tuta aminije mweeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…