Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 790224
Go away
[emoji23]
IMG_20180523_205205.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenyewe wanakwambia manhood
manhood wapi ni ujinga tu, unaharibu mke wa mtu wa baadae alafu utegemee mke wako mtarajiwa awe hajaguswa....acha tu tupate tunavyo stahili, tuache kulalamika.
 
ndio hivyo, vijana wanafanya uhuni sana alafu baadae wanataka mwanamke alitulia yangu utotoni hahahaha maisha haya,
Yes namfaham jamaa akikuwa anatembea na x wake hadi siku ndioa yake inafungwa
Yaan asubuhi aliamka na X wake.
Halaf anaenda kuoa, guess what, yule sista mwengine alo muoa alikuja kupewa mimba na na njemba ingine wakati wako kwa ndoa.

Unavuna ulicho panda, vijana wa sku hizi hawataki kuskia
 
hahaha hapo hata yy atalaumu lkn nafsi itakua inamsuta tu kimya kimya
 
Back
Top Bottom