Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,802
Noma sanaUsiku mnene huu wadau wamelala.
Usiku mwema pia mkuu,, na Mungu akusimamie uamke salama ukiwa na afya njemaMuwe na usiku mwema ndugu zangu, sipo sawa kiafya wacha nipumzike
Amana Rabb Amina [emoji120]...Usiku mwema pia mkuu,, na Mungu akusimamie uamke salama ukiwa na afya njema
Insha Allah shekhe, ntafanya hvo, shukrani kwa kunkumbusha piaAmana Rabb Amina [emoji120]...
Pia nakukumbusha usiku wa leo ni usiku maalumu usisahau kuomba dua zako hakika zitapokelewa na kutekelezwa
Binnuruh! [emoji120]Insha Allah shekhe, ntafanya hvo, shukrani kwa kunkumbusha pia
Alamsk[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Pole, Mola akufanyie wepesi ktk udhaifu wako wa mwili ulonaoMuwe na usiku mwema ndugu zangu, sipo sawa kiafya wacha nipumzike