kweli..Na tumshuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuiona siku nyingine
sawa sawa..Mwenyezi Mungu atujaalie kuepuka matusi, kashfa, dharau, kejeli na mengineyo yasiyo ya kimaadili
Hekima ya Mfalme Suleimani 26:1-12 imewaelezea wapumbavu na matendo yao.Hekima ya Mfalme Suleimani. Ni 26 kwa 4 au kwa tano?