Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

LEO TUNAIANGAZIA NCHI YA UBELGIJI.
Ubelgiji ni nchi ambayo haipewi nafasi kutikisa huko Urusi, hata hivyo taifa hilo la Ulaya Magharibi ni moja ya nchi zenye vikosi vyenye wachezaji wakali sana kwenye mashindano haya.
 
Ingawa Ubelgiji haina jina kubwa kwenye mchezo wa soka, lakini kikosi cha sasa cha nchi hiyo kinaundwa na nyota wanaotikisa ligi mbali mbali Barani Ulaya
 
BiTyJU1BMF9.jpg
 
Kama mama yako anakupakulia chakula alafu ukamwambia kinatosha, asipoongeza kijiko kimoja baada ya wewe kumwambia kinatosha ujue huyo sio mama yako.. mtafute your real mama

Thank me later
 
Back
Top Bottom